THE GOALKEEPERS REPORT

Tarehe 25 Septemba 2015, Viongozi wa Ulimwengu wapatao 193 wataazimia kufikia Malengo 17 ya Ulimwengu ili kutimiza mambo 3 ya pekee katika miaka 15 ijayo. Kukomesha umaskini wa kupindukia. Kupambana na ukosefu wa usawa na ukosefu wa haki. Kurekebisha mabadiliko ya hali ya hewa.

Sote tukiyapigania, viongozi wetu watayatekeleza.

Lakini ili yatimie – ni sharti kila mtu ayafahamu. Huwezi kupigania haki zako kama huzifahamu. Huwezi kuwashawishi viongozi wa ulimwengu kutimiza wajibu wao kama hufahamu kile unachowashawishi wafanye. Kama malengo hayo ni maarufu, hayatasahauliwa.

HOW DO I GET INVOLVED WITH THE GLOBAL GOALS?